Hivi ndivyo hali ilvyokuwa mara baada ya kitu kinachodhaniwa kuwa bomu
kulipuka jijini Arusha kwenye kanisa katoliki la Mtakatifu Joseph
Mfanyakazi, siku ya Jumapili, tarehe 5 Mei 2013, ambapo mpaka hivi sasa
taarifa ya serikali inaeleza kuwa takriban watu 3 wamefariki dunia na
majeruhi zaidi ya 50.
mbona siioni hiyo video?
JibuFuta