Jumamosi, 25 Mei 2013

USHUHUDA WA FAMILIA.

Happines Mbagata  mtoto wa mchungaji Mbagata akitoa Ushuhuda kanisani

Sisi watoto wa Mchungaji Elias Mbagata  Deogratius, Happiness, na Ebenezer tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa jinsi anavyomsaidia Baba yetu hasa wakati huu anapofanya huduma bila ya msaidizi (Wife) baada ya Mama yetu kutwaliwa mbinguni karibia miaka miwili sasa.  Ukweli mwanzoni tulisikia kukata tamaa sana na tukadhani huu utakuwa ndio mwisho wa huduma ya Baba yetu lakini Mungu ni mwaminifu tumeendelea kumwombea na kumtia moyo na hata sasa anaendelea vizuri,  Wapendwa wafuatiliaji wa blog hii tafadhali dumuni kumwombea baba yetu na sisi pia tutiwe moyo kudumu katika wokovu na kumsaidia Baba yetu na pia tuinuliwe katika masomo yetu.

Kwa niaba ya familia ni

Miss Happiness Elias Mbagata (A K A MABIBO)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni