MIUJIZA "ATEMBEA MWENYEWE BAADA YA KUFANYIWA MAOMBI" KANISANI
Mchungaji Mbagata akifanya maombezi kwa mmoja wa wagonjwa walioteseka kwa muda mrefu ambapo aliweza kutembea bila kushika na mtu yeyote wakati wa Ibada ya maombezi na uponyaji katika kanisa hilo la Agape Miracle Center lililopo Mwanzaroad Tabora mjini.
Wagonjwa hawa wakisaidiwa kupitishwa mbele ya kanisa kwa ajili ya huduma ya maombi na uponyaji ambapo wanaonekana hawawezi kutembea kabisa.
Mchungaji Mbagata akiendelea na huduma ya maombezi na Uponyaji kwa watu wenye matatizo mbalimbali.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni