Ijumaa, 24 Mei 2013

MCHUNGAJI MBAGATA AWAONGOZA WAUMINI KUOMBA TOBA

Mchungaji mbagata akimwombea mmoja wa waumini aliyekuwa akisumbuliwa na mapepo

Waumini wakiungama dhambi zao wakati wa ibada

Mchungaji Mbagata akiwasihi waumini wake watafakari njia zao na wamrudieMungu kwa toba pale walipokwenda kinyume na mapenzi yake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni