Mchungaji Elias Mbagata akifanya maombi ya pamoja katika kanisa la AGAPE MIRACLES CENTER lililopo eneo la Mwanza Road Tabora mjini. |
Ibada ya kuombea mapepo pia leo iliendelea kama ilivyo kawaida katika kanisa hilo |
Huyu ni mmoja kati ya kinamama wanaosumbuliwa na mapepo ambaye alifika katika Kanisa hili kwa ajili ya kupata huduma ya maombezi. |
Wanafunzi wa vyuo vya SAUT na TPSC hapa mkoani Tabora walihudhulia katika Ibada ya maombezi kwa ajili ya Wanavyuo wote ambapo pia walitoa ushuhuda juu ya uponyaji walioupata. |
Ibada maalumu inayoendeshwa katika kanisa hilo kwasasa kila jumapili hufanyika Ibada ya kuliombea amani Taifa kuepukana na shari ya kila upande wa nchi ya Tanzania. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni