Ijumaa, 24 Mei 2013

MCHUNGAJI MARRY MAKUNDI AWATAKA WAKRISTO KUMTII MUNGU

Mchungaji Marry Makundi akihubiri katika kanisa la Injili Afrika lililopo Mwanzaroad Tabora mjini ambapo aliwataka waumini kumtii Roho wa kweli katika maisha yao ya kila siku.
Baadhi ya waumini wakiwa katika maombi ya pamoja Kanisa la Injili Afrika,Ibada ya jumapili pamoja na mambo mengine waumini walipata fursa ya kuombea ujenzi wa barabara za mkoa wa Tabora.


Maoni 1 :